BEST FOREX INDICATOR | FOREX SIGNALS | BEST FOREX STRATEGY | CURRENCY STRENGTH METER – Published in best forex signals

Video hii inafundisha namna ya kufanya biashara ya kuuza na kununua fedha mtandaoni mwenyewe bila kumtegemea mtu

Telegram group bofya :

Dial : +255 ‭766 428 640‬( zingatia muda nilio sema)

Whatsapp: +255 653 687158

Music credit :

#1_ON_TRENDING

source

(Visited 4 times, 1 visits today)

You might be interested in

Comment (10)

  1. Indicator hii ni ya kwenye computer tu. Kama unasimu na unahitaji kujua tembela tovuti hii http://www.livecharts.co.uk/currency-strength.php

    Jinsi yakuweka indicator kwenye Mt4

    Copy hiyo indicator – Fungua mt4- kwenye kona kushoto juu bofya file- fungau open data folder – fungua mql4 – fungua indicator – paste ile indicator- funga mt4 ukiwasha itakua kwenye list ta indicators

  2. Ahsantee sanaa bro mi binafusi ninakushukur sana kwa video hizi zimenisaidia sanaa hongera video nzur

  3. Bro nilikua sina kabisa elimu ya hii kitu lakini kupitia video zako nmejifunza kitu kikubwa sanaa na pia naona maendeleo yangu si haba kwenye demo kutokana na mafunzo yako..Natumaini nitaiva vyema nifungue real account

LEAVE YOUR COMMENT